Azam Mbona Mnatufelisha Kwenye Hizi Kamran Zenu?

G4rpolitics

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
4,369
Reaction score
5,248
Naangalia hpa mechi ya Azam-Namungo, yaani picha zinavyo onekana utafikir ni Kamera moja iliyowekwa juu ya jukwa, image inaoneshwa watu wako mbali, mbna mnafeli hivyo? Kwani mkiweka Kamera za kueleweka hpa kuna tatizo gani? Timu zipo sehemu moja, hapa ndipo tungeweza kuona picha nzuri make hata ligi imesimama hivyo kila kitu kinge base hapa, unaangalia mechi utafikir upo Jukwaani juu, unaona tu vichwa vya wachezaji. Badilikeni!!!
 
Yaaani hili tatizo nimeliona tangia mechi ya simba na Salem view.Sasa kitim timu kikaja usiku kati ya Yanga na jang'ombe picha ni mbaya(focus) halafu watu unawaona kwa mbali hata goli likifungwa unasubiri marudio ya picha ili uone vizuri.
 
Ni kma Wana upungufu wa vifaa
 
Wakumbuke watu wamelipia ving'amuzi
 
Nunua TV kubwa acha makasiriko bro!
 
Wanamkataba wa miaka 10 kuonyesha ligi.

Naona hawataki kabisa kuendelea kuboresha.
 
Azam hata Marejeo yao Ni Hovyo hasa Golini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…