Azam Media kuwazidi kete DStv?

Huyo anajifurahisha. Labda hasomi magazeti. Hata wenye mpira wao kule Brasil wanaangalia EPL. Ligi za Uganda, Kenya na sijui wapi nani anazitaka hapa Bongo? Ligi yetu na EPL ndio mambo yote.

AZAM TV anachokifanya nikutafuta wateja nje ya tz, akichukua leseni ya kuonesha ligi ya uganda, kenya na kwingineko tayari watu wa nchi husika watalazimika kununua king'amuzi cha AZAM TV hivyo suala la coverage atakuwa analimaliza taratibu na DSTV mwenyewe atajiongeza!

Kwan kuna kipi special dstv zaidi ya EPL?

azam tv kakamata ma house girl hadi mabosi watu wapo bz na sinema zetu na african movies hiyo EPL yako nenda vibanda umiza.

Viva azam tv go go!
 

Bei zip unazozizungumzia kushuka je za kununua au za malipo ya vifurushi
Halaf ni misim miwil tu dstv ndk walikosa right za kuonesha epl baada ya kushindwa na G-sport kutoka nigeria then na wenyewe wakaenda bankrupt then dstv akununua right za msim uliosalia kutoka G-sport

Ukitaka kuwaondoa dstv sub saharan labda waje bein sport ambayo ndo kampun tajir kuliko zote katika television na hapo azam anaweza kuuziwa hata mechi 2 kwa wiki

All in all azam tv awez kushindishana na dstv katika kupata right za epl, wenzetu dstv wamewekeza sana kwao na west africa especially nigeria ndo maana utakuta zipo chanel 3 kwa mfank unaweza ukakuta ss3A,ss3za,ss3ni
 
hivi nyinyi mliochangia mada hii nani mwenye dstv nyumbani kwake au mnaisikia tu kwa kuonyesha mipira azamtv kwachanel hamfiki dstv hata kwa ncha ya ukucha

Hahaah hapo umeongea kabisa dstv wamekamika kila idara hahaha watu waazam wanajivunia vichanel vya mbc wakat sisi huku tuna mnet east,mnet west, mnet premium, mnet edge, vuzu hapo ni kwa series tu yyt ambayo iko ktk chat
Dstv premium ndo raha msije mkaifananisha na azam
 

Unaposema sinema zetu je vipi kuhus africa magic swahil, je hizo africa sinema mbona zipo kwenye africa magic, famil, world, epic etc
Sema hiv azam hiz chanel wanazitoa kwa bei ndo wakat kwa dstv hizo chanel kama africa magic swabil etc bei za vifurush vinaanzia 17000-142000 kwa mwez
 

Mimi nina DSTV lakini itakuwa sio haki nikiwapuuza Azamtv kama unavyofanya. Ninayo pia Azamtv, na ninajivunia ile HISIA tu kwamba MTANZANIA katikisa mawimbi ya Digital Television Enterprises hapa SUB SAHARAN AFRICA. Kisha sina hata haja ya Parental Control (Kuset passwords) kwa vile NAJUA kwenye AZAMTV hakutaonyeshwa baadhi ya mambo ya Kishenzi kwa wanangu
 
Mkuu nimekubaliana na hio sentensi yako ya mwisho
 
Azam wa chukuehata ligi za ujerumani na hispania mbona nzuri tu.
 
Go go go go go AZAM Media, we support you all the way!
 

Taja mfano wa ligi nzuri Africa kuliko EPL
 

Wazooo zurii sanaaa
 
Pamoja na kukamilika kila idara ila super spot ndio nguzo Kuu.

Football ndio inayowafanya watu wakubali kulipia gharama kubwa.

Azam mdogomdog atafika, yupo pale Tido Mhando anajua nini watanzania wanataka.

Kama aliweza kuiwezesha tbc kurusha baadhi ya mechi za epl sidhani kama atashindwa Azam ambao wapo kibiashara zaidi.
 

Eti nini? We unaumwa sio bure
 

Bado hujaijua DSTV, hivi unayo nyumbani? ulizia GTV waliishia wapi? Azam Tv bado wana safari ndefu sana hata wao wanajua.............
 

Swali langu ni kuwa hata dstv huwa muda mwingine anachukua matangazo ya live from skysport....sasa kwann bakhresa asiweke ktk king'amuzi chake hizo Chanel za bein sports????
 
Azamtv anajitahidi ko kukompt na Dstv kwa ununuz wa mech hiz za kiafrika anaweza bt kukompt na Dstv kwa ubora bado sana sana sanaaaaa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…