Azam Media kuwazidi kete DStv?

Acha chuki mkuu, Azam ni mtanzania mwenzetu na lazima tumsifie kwa anayoyafanya ambayo hakuna mtanzania hata mmoja aliyemfia...so tunatakiwa sisi kama watanzania tumpe support huyu ndugu yetu...kama imekuuma sana unaweza ukawapisha wengine wachangie
Ni kweli hatumpondi but kumlinganisha na dstv mnakosea.
 
Sawa mkuu, ila wengine wanakosea kusema "akajifie huko" huyu ni mtanzania mwenzetu na sisi kama wadau tunatakiwa kuwa nyuma yake na kumsupport kwa yale anayoyafanya...huoni kuwa ni faraja kubwa sana kwetu!
Mfumo wetu wa siasa ndiyo kikwazo kikuu kwa wajasiria mali wetu wa ndani. Azam wako vizuri mno but nawashauri wakainvest na nchi jirani wanaweza wakaibukia huko.
Media kama wakubwa hawana direct individual profit lazima wakusumbue sana. Hili ni tatizo.
Dstv ni chombo ya mwingereza lakn katokea marekani na anakubalika kutokana na sera zao nzuri.
 
Hakuna kinachoshindikana, jamaa anapesa za kufa mtu..tumuombee tu
 
Kweli kamanda...
 
Sija ongelea kibali! Au umenielewa vibaya. Azam asubiri nini wakati tayari anamsumbua Dstv kwenye soko la bongo. Ndani ya muda mchache amefanya wonders, Dstv analijua hilo na Dstv wa sasa hivi siyo yule wa kabla ya azam aja ingia kwenye game ushindani umemweka sawa. Hapa mjini tu watu wana Dstv ila wana enda vibanda umiza sembuse kijijini.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Sawa mkuu, ila wengine wanakosea kusema "akajifie huko" huyu ni mtanzania mwenzetu na sisi kama wadau tunatakiwa kuwa nyuma yake na kumsupport kwa yale anayoyafanya...huoni kuwa ni faraja kubwa sana kwetu!
Kwan hao azam wanatupa nn cha zaid kama mzawa.kila kitu tunalipia .wameajiri wanalipa kodi the same na dstv.bas sioni haja ya statement yako.
Usifananishe dstv na azam mbali sana
Kuanzia cus base
Hivi azam ana decoder kama explora.au wana extra view?au ndo ile ukitaka kufunga tv nyingn room unanunua mpk na dish tena?
 
Sawa mkuu, ila wengine wanakosea kusema "akajifie huko" huyu ni mtanzania mwenzetu na sisi kama wadau tunatakiwa kuwa nyuma yake na kumsupport kwa yale anayoyafanya...huoni kuwa ni faraja kubwa sana kwetu!
Halafu cha kushangaza afrika sanasana watu weusi ndio tunaongoza kwa kulalamika kuhusu ubaguzi halfu wenyewre wenyewe hatupendani.
 
Mungu aendelee kumbariki bwana Bakhresa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…