Azam Media mkanyeni mtangazaji Ngoda kuchanganya mpira na vyama vya siasa

Azam Media mkanyeni mtangazaji Ngoda kuchanganya mpira na vyama vya siasa

Rufiji dam

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2020
Posts
4,107
Reaction score
9,671
Hii mechi kati ya Simba na KMC leo imetangazwa na Ramadhan Ngoda muda mwingi katumia kuitaja CCM kila mara ajue kabisa anaharibu kuchanganya mpira na shetani CCM.

AKOME
 
Chawa, kunguni, kiroboto ngonda wa hedi shubamiti coacroach
 
Unaambiwa mama amefanya makubwa mno kwenye sekta ya soka nchini, ila yule refa aliyekataa goli la Yanga aligoma kuunga mkono juhudi.
 
Back
Top Bottom