Rufiji dam JF-Expert Member Joined Feb 20, 2020 Posts 4,107 Reaction score 9,671 May 25, 2024 #1 Hii mechi kati ya Simba na KMC leo imetangazwa na Ramadhan Ngoda muda mwingi katumia kuitaja CCM kila mara ajue kabisa anaharibu kuchanganya mpira na shetani CCM. AKOME
Hii mechi kati ya Simba na KMC leo imetangazwa na Ramadhan Ngoda muda mwingi katumia kuitaja CCM kila mara ajue kabisa anaharibu kuchanganya mpira na shetani CCM. AKOME
Ulongupanjala JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 8,273 Reaction score 13,567 May 25, 2024 #2 Na akome kweli na uchawa wake.
mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 20,925 Reaction score 51,688 May 25, 2024 #3 Chawa, kunguni, kiroboto ngonda wa hedi shubamiti coacroach
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 29,028 Reaction score 69,666 May 25, 2024 #4 Unaambiwa mama amefanya makubwa mno kwenye sekta ya soka nchini, ila yule refa aliyekataa goli la Yanga aligoma kuunga mkono juhudi.
Unaambiwa mama amefanya makubwa mno kwenye sekta ya soka nchini, ila yule refa aliyekataa goli la Yanga aligoma kuunga mkono juhudi.
kimbendengu JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 6,716 Reaction score 12,116 May 25, 2024 #5 Ubongo wake umeharibiwa na ccm
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 May 25, 2024 #6 Kwamba CCM imefanyaje?