NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Nimeshangazwa sana na huu utumbo wa Azam Media kusema wataonesha halafu wasioneshe.
Haya endeleeni kufuata maelekezo na timu lenu kivyenu vyenu.
Na mkumbuke kutuomba radhi kwa huu utumbo wa kututangazia halafu mnatokomea gizani.