NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Kwani Televisheni yenu ya Taifa Ina kazi gani mpaka isionyeshe!?Nimeshangazwa sana na huu utumbo wa Azam Media kusema wataonesha halafu wasioneshe.
Haya endeleeni kufuata maelekezo na timu lenu kivyenu vyenu.
Na mkumbuke kutuomba radhi kwa huu utumbo wa kututangazia halafu mnatokomea gizani.View attachment 2783102
KWA NINI NA WAO WALISHOBOKEA KUSEMA WATAONESHA?Kwani Televisheni yenu ya Taifa Ina kazi gani mpaka isionyeshe!?
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
KWELI KABISA MZEE NI USHUBWADA TU HAWATAKI WATU WAIONE TIMU YAO.Ndio maana tunaona akina GENTAMYCINE na wengine kadhaa wakisusia kuishabikia hiyo timu.
Ukifuatilia kwa kina kuna sababu nyingi zenye mashiko zinazopunguza washabiki wa hii timu
KWA HIYO WANAMFICHA FEISAL??Mbn kwenye hicho kikosi Fei hayupo[emoji16][emoji16][emoji16]
Kwa sababu hajaitwa.Mbn kwenye hicho kikosi Fei hayupo[emoji16][emoji16][emoji16]
Bongo hakishindikani jamboKWA HIYO WANAMFICHA FEISAL??
Subir wacha-mbuzi keshoKwa sababu hajaitwa.
Ndio hawaonyeshi sasa...! PasukaKWA NINI NA WAO WALISHOBOKEA KUSEMA WATAONESHA?
TAFUTA KAZI YA KUFANYA
NANI ALIYESEMA ATAONESHA??Ni ujinga kuilaumu Azam kwajili ya hili. Hii thread haina sifa ya kuwa kwenye jukwaa la great thinkers.
Azam analaumiwa kwakuwa alisema ataonyeshaNi ujinga kuilaumu Azam kwajili ya hili. Hii thread haina sifa ya kuwa kwenye jukwaa la great thinkers.
GENTAMYCINE alisema atakuja kulitolea ufafanuzi.Mbn kwenye hicho kikosi Fei hayupo😁😁😁
Iko kwa ajili ya kampeni......teh teh teh.Kwani Televisheni yenu ya Taifa Ina kazi gani mpaka isionyeshe!?
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Taifa stars imekua timu ya tifutifu aka TFFNimeshangazwa sana na huu utumbo wa Azam Media kusema wataonesha halafu wasioneshe.
Haya endeleeni kufuata maelekezo na timu lenu kivyenu vyenu.
Na mkumbuke kutuomba radhi kwa huu utumbo wa kututangazia halafu mnatokomea gizani.View attachment 2783102
KUNA UPUUZI MWINGI SANA.Taifa stars imekua timu ya tifutifu aka TFF
Yule half mental achana nae ana tatizo la afya ya akiliGENTAMYCINE alisema atakuja kulitolea ufafanuzi.