Azam Media ongezeni kamera uwanjani

Kwenye reply wanazingua, wanafanya reply wakati mpira unaendelea. Goli la morison hatukuliona sababu walikuwa wanaonyesha reply.
Kuhusucamera wanaweka chache ambazo hazisaidii linapotokea tukio tata.
Udhamini wa muda mrefu unampa kiburi kutorekebisha mapungufu yanayojitokeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…