dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Wakuu huyu kipenzi chetu cha watanzania anatuburudisha vzr sana kwa aina ya kipee sana [emoji38]. Ni bondia anaependwa vzr sana na anafatiliwa hadi na vingozi wa kiserekali hasa waziri mkuu wetu hvyo tuomba mtuletee pambano hilo ambalo limeteka nyoyo za mashabiki wengi wa ngumi kwa Kenya na Tanzania.
Wakenya wametokea kumuelewa Sana mandonga wetu mji mzima leo Ni mjadala kuhusu fight hyo hapo kesho sijajuwa ndio main fight au Kuna kubwa kuliko.
Plz once again kama kuna uwezekano tuletewe pambano hilo tumuone mtanzania wetu anavyo mchakaza mkenya ndugu yetu wanyonyi.
Nawasilisha
Happy new year 2023
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app