Azam Media wametumia Akili Kubwa sana kuanza na Yanga SC wakati Mkataba watakaouingia na Simba SC utakuwa ni Mnono zaidi

Mna simba TV nyie?
 
Hili dili la Simba likitiki, Mbona kama nawaona Uto watakavyochukia.

Ila kuna ka ukweli kuwa Brand ya Simba ipo juu zaidi ya Yanga kwa sasa
Mkataba kwa kipi wale wameingia na Yanga TV nyie mnayo Simba TV?
 
Mna simba TV?
 
Hili likitokea litaleta mgogoro wa kimkataba ( ingawa haupo) kati ya Mo na Simba. Kama thamani ya simba haizidi B20. Simba wakiingia huo mkataba B90, Mo anaweza wapeni 20B yenu akavuta faida 70B fasta!

Waliokataa huo mkataba wamehofia hilo!
 
Kweli wewe zwazwaa. Mkataba wa Yanga na Azam media umekuumiza usiku kutwa,mpaka umeona ujifariji kwa ndoto za mchana. Kama hujui simbwa iko kwenye mkataba wa mkopo kitambo
 
Mna simba TV?
Swala sio kuwa na Simba Tv swala ni products zako zinamnufaisha huyo broadcaster ?


Simba ina product lukuki kuliko za yanga izo nikizo kuorozeshea hapo ndio azam tv anazitaka ili awavutie watu wanunue king'amuzi chake...amini CAF CL.msimu ujao game za Simba Sc Azam anaweza asizionyeahe ndio maana ame wawahi Yanga Sc so ataonyeaha za Yanga tu unless alete mpunga mezani
 
Kwa mwenye dhiki nini dhambi?
 
Tuorodheshee hizo product zinazozalishwa na Simba
 
Hili likitokea litaleta mgogoro wa kimkataba ( ingawa haupo) kati ya Mo na Simba. Kama thamani ya simba haizidi B20. Simba wakiingia huo mkataba B90, Mo anaweza wapeni 20B yenu akavuta faida 70B fasta!

Waliokataa huo mkataba wamehofia hilo!
Unafikiri hizo hela ni za kuvuta zote kwa mkupuo?[emoji23][emoji23]
 
Unafikiri hizo hela ni za kuvuta zote kwa mkupuo?[emoji23][emoji23]
Mkuu aliyekuwa Kocha wao Luc Eymael hakuwa Mjinga au Mpumbavu alipowaita Yanga wote ni kama Nyani, Mbwa na Sokwe.
 
Hili likitokea litaleta mgogoro wa kimkataba ( ingawa haupo) kati ya Mo na Simba. Kama thamani ya simba haizidi B20. Simba wakiingia huo mkataba B90, Mo anaweza wapeni 20B yenu akavuta faida 70B fasta!

Waliokataa huo mkataba wamehofia hilo!
Na kwa upande wa azam media awaongezi hata sumni iwapo simba watasaini huu mkataba
 
Na kwa upande wa azam media awaongezi hata sumni iwapo simba watasaini huu mkataba
Hivi wakiongeza mfano Tsh 50 au 55 Bilioni Kwako hilo siyo ongezeko Kubwa? Kwanini Watu 'brainless' wengi wanapatikana sana Yanga SC tu?
 
Simba hajawai mzidi yanga ujanja katika mikataba.

Pamoja na mbwembwe zote za mo.. dili ya kuvaa jezi zenye nembo ya sport pesa tu yanga imesaini hela nyingi kuliko simba. Kama unabisha nenda google

Hata azam sio wajinga. Yanga kama yanga ni brand kubwa sana.. ndio maana hela tunawazidi mikia kila dili
 
unapenda sana kuropoka, ungekuwa mwanamke, kila mwanaume mtaani angekuwa anaijua K yakoilivyo
 
Hivi ukiwa kweli na Akili sawa sawa Kichwani na ambazo zinakutosha kwa Mafanikio tena yaliyo 'vividly' kabisa ndani ya miaka Mitatu hii unaweza hata Kuthubutu kusema mbele ya Watu 'Intelligent' kabisa kuwa Yanga SC ni 'Brand' kubwa kuliko Simba Sports Club? Ndiyo maana huwa nawadharau mno Watu wa Yanga SC.
 
Hivi wakiongeza mfano Tsh 50 au 55 Bilioni Kwako hilo siyo ongezeko Kubwa? Kwanini Watu 'brainless' wengi wanapatikana sana Yanga SC tu?
Huu mkataba wala sio mpya,tukiweka ushabiki pembeni hivi vilabu vyetu value zake ziko sawa,na ndio maana mkataba wa awali vilabu vyote vilikua vinachukua sawa kwa mwaka,kwanini mkataba umeboreshww hii yote sababu ya Yanga chini ya senzo,hii ilitokana na ile match ya Yanga princess na simba queen azam kutaka kuionyesha ile match na Yanga kukataa maana Yanga princess aikuwemo kwenye mkataba wa awali,Yanga princess alikua mwenyeji ile game,azam na Yanga wakayamaliza ile game ikaonyeshwa,baada ya hapo wakakaa kuuboresha huu mkataba kwa pande zote 2 ndio wakafikia hapo,huu mkataba sio mpya ajabu ule wa awali m 300 kwa mukubali leo hii b 2 kwa muukatae,kikubwa mo hautaki huu mkataba,mkataba wa mdhamini miaka 10 b 34 na tena una mabonus kibao,then mwekezaji b 20 ya kujipangia mwenyewe na mpaka hataki kuitoa,kwa mujibu wa mo simba ina thamani b 3.8 😂,bakhresa hiyo pesa atakua anaitoa cash iwapo timu itashika nafasi 2 za juu,kila mwezi atatoa m 200,mikia msimsikilize mdosi huyo kachukueni pesa hiyo 😂

 

Attachments

  • 875dc47b93fc4cb28b309851ab8ad389.mp4
    1.5 MB
Tukichukulia kuwa hizi taarifa ni za ukweli (jambo ambalo haliwezekani) maana yake Mo aliipiga Simba kwa kununua hisa 49%kwa bilioni 20

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Thamani y simba kipind icho ilikuwa ivyo kma kuna mkataba teyari imekula kwa simba ila kama akuna mkataba kati y simba na mo imekula kwa mo simba ya sasa inathamani y billion 75
 

Yanga ni brand kubwa kuliko simba...nimekupa mfano wa dili ya sport pesa.. hakuna dili hata moja ambayo simba imemzidi yanga hela toka zimeanzishwa hizi timu.. kama ipo hiyo dili iseme.. muwekezaji yeyote akizamini simba na yanga. Simba huwa hamzidi yanga popote. Ila yanga huwaga anamzidi simba mfano sportpesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…