Azam Media wametumia Akili Kubwa sana kuanza na Yanga SC wakati Mkataba watakaouingia na Simba SC utakuwa ni Mnono zaidi

Huna Akili acha Kunipotezea muda sawa?
 
Dili la Sportpesa lilikuja kipindi Yanga anatamba 5yrs back....Simba kwa sasa kampiga gap huyo Yanga when brands are concerned...na Sportpesa wakisema wanarenew mkataba sioni ni kwa namna gani Yanga atamzidi Simba.
 
Ishu ni kwamba simba alikataa hizo 41B kwa kile cha kuogopa mo, ndo wakahamia kwa yanga
 
Kipindi hicho Simba alikuwa na miaka kama mitano hivi hajachukua kombe lolote kwahiyo ilikuwa obvious Simba angepata kidogo kuliko Yanga aliyekuwa ametwaa ubingwa mfululizo mara tatu.

Kwa sasa Simba kwenye contracts zozote Visa vis Yanga Simba lazima awe na package kubwa kwa sababu hata Fanbase yake iko Africa nzima kutokana na ushiriki wake kwenye mashindano makubwa kwa ushindani ukilinganisha na Yanga.

Hata kama Azam watasaini Contract na Yanga kama walivyofanya obvious wa Simba utakuwa na Package kubwa kuliko wa Yanga kwa sababu ya Fanbase ya Simba
 
Watu wa Yanga SC ni ngumu Kukuelewa.
 
Simba inachelewesha kwanza kusubiri dili la CAF Super Cup maana lina mgongano wa kimaslahi na Azam Media
Inawezekana kuwa kweli, japo Super Cup inaweza isitokee
 
Inawezekana kuwa kweli, japo Super Cup inaweza isitokee
Hata kama hiyo African Super Cup haitotokea bado haiondoi au haizuii Ukweli kuwa Simba SC ni Klabu Bora na iliyopiga Maendeleo makubwa kwa sasa tena si tu Tanzania bali hata Afrika Mashariki yote ( nzima )
 
Hilo liko wazi, Simba ina Upper Hand katika negotiation sababu ya perfomance yake Afrika, hawa wenzetu wanafurahia tu bila kujua lijalo
 
Hilo liko wazi, Simba ina Upper Hand katika negotiation sababu ya perfomance yake Afrika, hawa wenzetu wanafurahia tu bila kujua lijalo
99.9999% ya Watu wa Simba SC ni Werevu ( Intelligent ) sana ndiyo maana hata leo hii ukikutana na Wasomi ( Intellectuals ) Kumi ( 10 ) basi Nane ( 8 ) kati yao ni Simba SC Fans ( Supporters ) Mkuu.
 
Unafikiri hizo hela ni za kuvuta zote kwa mkupuo?[emoji23][emoji23]
Haijalishi mtapewa kwa namna gani hata kama Azam watakuwa wanawapa 400milion kwa kila mwezi Mo anazijua parcent zake kwenye hiyo hela[emoji24][emoji24][emoji24]
 
99.9999% ya Watu wa Simba SC ni Werevu ( Intelligent ) sana ndiyo maana hata leo hii ukikutana na Wasomi ( Intellectuals ) Kumi ( 10 ) basi Nane ( 8 ) kati yao ni Simba SC Fans ( Supporters ) Mkuu.
Aisee nyie vilaza ndo wakutiana moyo kiivyo humu...!!!eti ma intelligent,hivi Manara nae ni intelligent?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Aisee nyie vilaza ndo wakutiana moyo kiivyo humu...!!!eti ma intelligent,hivi Manara nae ni intelligent?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Imekuuma sana Mkuu? Poleni mno tu!!!!
 
Brand tu yenyewe inaa jitosheleza usiifananishe na Yanga

Simba ni CAF CL quater finalist two times in 2020's yanga mara ya mwisho kufika group stage za CAF CL ni lini ?
Wewe umetoa kauli kuwa Simba ina products nyingi kuliko Yanga. Hoja sio brands bali ni products zinazozalishwa na Simba naomba nitajie hizo products maana wewe mwenyewe umesema kuhusu products
 
Pamoja na yote hiyo atachukua mwenye timu yake si mmeshauza kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…