Azam Media wanatia aibu

Azam Media wanatia aibu

XII Tz

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2020
Posts
4,345
Reaction score
7,076
Najaribu kulisikiliza semaji la CAF hapa, huwezi amini lina sound kama Robot hata anachoongea hakisikiki, na mbaya zaidi hii ni press muhimu sana kuelekea mchezo wetu wa jumamosi wa kufuzu Robo fainali dhidi ya Horoya.

Azam wajitahidi kuboresha huduma zao kwani sio mara moja au mara mbili, ni aibu kwa Media kubwa kama azam kuwa na mambo ya ajabu namna hii.

Nguvu moja [emoji881]
 
Kama una namba ya huduma kwa wateja wapigie uwaeleze tatizo.
 
Hiyo Jumamosi kuna watu hawataamini kitakacho tokea. Maana wanategemea kuingia uwanjani na matokeo yao mfukoni! Jambo ambalo ni hatari sana.
 
Back
Top Bottom