Najaribu kulisikiliza semaji la CAF hapa, huwezi amini lina sound kama Robot hata anachoongea hakisikiki, na mbaya zaidi hii ni press muhimu sana kuelekea mchezo wetu wa jumamosi wa kufuzu Robo fainali dhidi ya Horoya.
Azam wajitahidi kuboresha huduma zao kwani sio mara moja au mara mbili, ni aibu kwa Media kubwa kama azam kuwa na mambo ya ajabu namna hii.
Nguvu moja [emoji881]