Azam Media yapata haki za matangazo ya ligi kuu Kenya kwa Mkataba wa Miaka 7 wenye thamani ya Tsh. Bilioni 23

ntamaholo

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
12,938
Reaction score
6,942
Ligi ya Kenya haina uzuri wowote
Itapata thamani, kumbuka wana wachezaji wazuri waliofanya makubwa kuliko tanzania. Ni very determined sana kwenye michezo.

Pia kwenye msimamo wako juu yetu pale 105 japo ligi yao bado sana ukilinganisha na yetu

Kikosi cha timu ya taifa ya kenya kina thamani ya €17mil wkt Tanzania €5milion.
 
Asante Kwa ufafanuzi
 
Leo tar 31/8/2023 kampuni ya Azam media kupitia Azam sports imesaini mkataba wa kurusha matangazo ya Moja Kwa Moja ya ligi ya Kenya Kwa mkataba wa miaka Saba ( 7 ).
Hii ni mwendelezo wa makampuni ya kitanzania ku-dominate maeneo nyeti ya kimkakati nchini Kenya na nchi zingine za ukanda huu wa Africa mashariki na kati na mkakati wa azamsports ni kukamata ukanda wa kusini mwa jangwa la Sahara na hatimae kushusha ufalme wa maltichoice. Watoto wa mjini husema " wakenya kuleni chuma icho"
 
Channel tutakuwa tunanyanga'anyana hizi hizi au ataongeza nyingine!
 
Sasa mambo ya team ya taifa na ligi zinaingiliana vipi mzee?? Ni kweli licha ya kuwa kwenye team yao ya taifa wapo mbali lakini kwa league yao hamna kitu kabisa, haina mvuto kama alivyogusia mkuu HIMARS
 
hio bil 23 ni kwa miaka 7 au per year....?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…