Azam Media yapata haki za matangazo ya ligi kuu Kenya kwa Mkataba wa Miaka 7 wenye thamani ya Tsh. Bilioni 23

Bakharesa kajichanganya ...wa kenya hawaipendi ligi yao , ila nampo geza kwa kuwavimbia wa shenzi hao wa 254 wana dharau
 
Kenya na Zambia wana vipaji vingi ila ligi zao hazina ubora na zinanuka umaskini wa kutisha. Mfano Zambia wana vipaji vya kutisha ila ligo yao ya ndani ni ya kimaskini kupitiliza.
 
HAO WAKENYA WANATUDHARAU...LEO MNAENDA KUWATANGAZA ILI WAONEKANE...!!!....BAADA YA MIAKA MIWILI WAZEE WA FURSA WATASEMA LIGI YAO BORA.

AZAM ONESHENI ILI MPATE MPUNGA ILA MJUE ALALAE USIMUAMSHE UKIMUAMSHA............!!
 
Azam akikaza buti na kuwekeza kwenye camera bora na matecnichian wazuri atampita DStv

Azam wanakimbilia kuongeza biashara huku wanasahau kuongeza ubora wa matangazo yao.

Wasilete tamaa zao za kushika kila biashara, huku wakitupatia matangazo ya hovyo.
 
HAO WAKENYA WANATUDHARAU...LEO MNAENDA KUWATANGAZA ILI WAONEKANE...!!!....BAADA YA MIAKA MIWILI WAZEE WA FURSA WATASEMA LIGI YAO BORA.

AZAM ONESHENI ILI MPATE MPUNGA ILA MJUE ALALAE USIMUAMSHE UKIMUAMSHA............!!
Akili ya Mfanyabiashara haiwazi unavyowaza. Kupitia unazoita dharau mwenzako ndio anaenda kutengeneza pesa.
 
Azam wanakimbilia kuongeza biashara huku wanasahau kuongeza ubora wa matangazo yao.

Wasilete tamaa zao za kushika kila biashara, huku wakitupatia matangazo ya hovyo.
Mkuu unajua ubora wa Matangazo ukiongezeka na bei za vifurushi zinaongezeka?

Je, tuko tayari kulipia bei za DSTV?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…