LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,491
- 12,560
Hakuna tangazo linaloniboa kama hili katika Azam media, Azam two na Azam sports HD, umaskini wa yanga unaletwa na wachezaji kutojituma na mashabiki wao wenyewe.
MASHABIKI wanashinda mtaani na kwenye mitandao tu wakipiga domo lakini uwanjani hawaendi, wananunua jezi feki mnategemea timu itapata wapi mapato hapa
MASHABIKI WA YANGA wamekuwa wakitumia mda wao mwingi hata Kulipia viingilio kufuatilia mechi za Simba kuliko wanavyofuatilia timu yao, wanakesha kusubiria mazaifu ya simba kuliko kupambana na umaskini wa timu yao
WACHEZAJI wa YANGA hawajitumi wanategemea kushinda kwa kutegemea uchawi, wakati wenzao simba kuingia hatua ya makundi tu klabu bingwa walilamba Bilioni 1 (1,000,000,000) na sasa naskia hatua ya robo fainali watapewa tena bilioni sita (6,000,000,000), unazani simba itaanzaje kulia njaa hapa wakati wachezaji wanajuhudi na wanaiingizia timu mapato?
Mashabiki wa Simba wanajaza uwanja mzima wao wenyewe mnategemea timu itaanzaje kuomba pesa Azam
AZAM MEDIA FUNGIENI HILO TANGAZO LA HAWA OMBA OMBA, WAACHENI WAPAMBANE NA HALI ZAO, MASHABIKI WAO WAPO BIZE KUIFUATILIA SIMBA KULIKO TIMU YAO NDIO MAANA WANABAKIA MASKINI, TOENI HILO TANGAZO ILI WAPAMBANE NA HALI ZAO
Sent using Jamii Forums mobile app