Azam mmeanza kurudisha kilio za Watanzania Mahala pake

MKEHA

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
716
Reaction score
1,143
Habari

Jana kuikuwa na mechi ya mpira wa miguu kati ya watani wa jadi na timu kongwe kabisa Simba na Yanga. Kwa jinsi Azam walivyo itangaza ikiwafanya watu waizungumze sana hiyo mechi mpaka wakasahau kwamba siku hiyo hiyo kuna mechi nyingine England ya Premier ya kukata na shoka ya Manchester United dhidi ya Arsenal. Zamani games za ulaya ziikuwa zinapewa kipaumbele sana kulikoni league ya Bongo. Nimeona watu wakiwa wamevaa jezi za Simba na Yanga kuliko za Manchester United na Arsenal hii yote inaonyesha tumeanza kupenda vya kwetu japo kwa mwendo mdogo mdogo. Ni kutokana na hilo nimeanza kuelewa tangazo la TTCL la RUDI NYUMBANI KUMENOGA.
 
Safi sana, mada nzuri.
Lazima tuzipende timu zetu kuliko za nje.
Hongera kwao Azam Sports
 
Hapohapo Vifurushi vinazidi kupanda bei kila siku.
 
Game ya man na arsenal haikuwa na lolote..hakuna anaegombea ubingwa au nafasi ya nne...hapo lazima washirikina wa kariakoo watazamwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…