Revolution
JF-Expert Member
- Feb 28, 2008
- 960
- 927
Duuuh aisee, acha uchawa bwanaNimeangalia headlines ya Azam leo tarehe 25 Julai 2024 kwenye UTV ambapo leo kulikuwa na issue kubwa ya Mhe. RAIS kuadhimisha siku ya Mashujaa, habari hiyo haikuwa kwenye headline...
Mwambie ukweli huyo pimbi hajielewi kabisa!Kwani lazima kumuonyesha huyo Bibi wa Kizimkazi? Acha uchawa na unafiki!
Kwani ndugu,inawezekana walikuwepo wale viumbe wasumbufu kwa binaadamu na hivyo baada ya kutambua wamebainika ni kero huenda wanasita sasa watookeee viiipiii?Nimeangalia headlines ya Azam leo tarehe 25 Julai 2024 kwenye UTV ambapo leo kulikuwa na issue kubwa ya Mhe. RAIS kuadhimisha siku ya Mashujaa...
Chawa hawatakiwi,hivi sasa wajitafakari,ba waliojitambua wanajipanga watokeeeviiipiii.Unataka kutuambia nini? 🐼
Maendeleo gani? Hakuna maendeleo hapo,Nimeangalia headlines ya Azam leo tarehe 25 Julai 2024 kwenye UTV ambapo leo kulikuwa na issue kubwa ya Mhe. RAIS kuadhimisha siku ya Mashujaa, habari hiyo haikuwa kwenye headline...
Kwani lazima kumuonyesha huyo Bibi wa Kizimkazi?
Ukielewa maana ya headline utajua ni kwanini wewe ulijipa jina la tofauti na mwenzakoNimeangalia headlines ya Azam leo tarehe 25 Julai 2024 kwenye UTV ambapo leo kulikuwa na issue kubwa ya RAIS kuadhimisha siku ya Mashujaa, habari hiyo haikuwa kwenye headline.
Kulikuwa na Treni ya kisasa ya Umeme ya SGR kufanya safari yake kutoka Dar hadi Dodoma lakini habari hiyo haikuwa kwenye Headline ya UTV ya Azam.
Azam hawapendi haya maendeleo yanayofanywa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suhulu Hassan? Mbona ITV wamefanya coverage japo kwa muda mchache?
UTV inaonekana vizuri sana ila habari zao hazioneshi matukio makubwa. Editor ajitazame.