Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,286
- 5,421
Wakiweza kuhonga wahonge tu hawa tunatakiwa tuwakekete ili waache kuchonga mitaaniMAKOLO hayawez kutoboa mbele ya Ihefu .....labda yahonge Tena refa
Kwa hiyo mkuu hawa jamaa wanaweza kujitoa makusudi kutukwepa?Ukweli Ni kwamba Simba hawatapenda kukutana na Yanga.....huo ndio ukwel
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Neno kolo umeanza kulisikia mwaka gani?MAKOLO hayawez kutoboa mbele ya Ihefu .....labda yahonge Tena refa
My wetu.....teh teh teh.Mambo yanazidi kua matamu huku asfc,kinachosubiriwa ni mechi za ijumaa na jumamosi.
Nb-endapo makolo yatapita basi tutawaomba sana azam watuachie my wetu,na nyie madunduka mjiakaze msitolewe mapema tuna jambo la msingi sana na nyie