M Mr specelist Senior Member Joined Dec 9, 2021 Posts 171 Reaction score 228 Oct 24, 2023 #21 Yeah derby ya kibabe afu amphibia anakojolewa viwil bla shida🤣🤣
Bila bila JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 22,168 Reaction score 39,118 Oct 25, 2023 #22 Ng'wanamangilingili said: Kwanza unajua maana ya derby na ilikoanzia Click to expand... Huwa anakuja na vihistoria vya Legends alivyosimuliwa anajiona Mchambuzi nguli. Ukimkosoa anatukana. Sasa Leo amejianika uwezo wake halafu kapotea.
Ng'wanamangilingili said: Kwanza unajua maana ya derby na ilikoanzia Click to expand... Huwa anakuja na vihistoria vya Legends alivyosimuliwa anajiona Mchambuzi nguli. Ukimkosoa anatukana. Sasa Leo amejianika uwezo wake halafu kapotea.