AZAM - Naomba Msaada

AZAM - Naomba Msaada

Mkulima

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2007
Posts
1,236
Reaction score
1,546
Wakuu,

Kuna biashara nilifanya na AZAM lakini naona wameshindwa kutoa huduma niliyonunua na badala yake nazungushwa tu.

Nataka kuongea na Bakhresa mwenyewe au mtu mwingine mwenye mamlaka na hiyo kampuni.

Kama una namba ya wahusika tafadhali nitumie kwenye PM yangu.

Sipo nyumbani kwasasa kwahiyo siwezi kwenda kupanga foleni ofisini kwao. Nimejaribu kuwatumia watu wengine na imeshindikana.

Kama una nanba za wahusika tafadhali saidia. nataka niongee nao mwenyewe na kujua kulikoni kabla ya kuchukua uamuzi mwingine.
 
Mkulima,
Je uliingia mkataba wowote na Azam?
 
Hiyo imekula kwako mkulima,kwani biashara siku hizi ni ujanjanjaunja tu.
 
Mkulima,
Je uliingia mkataba wowote na Azam?

Kuna mkataba tuliandikiana lakini pamoja na sisi kutimiza wajibu wetu kwenye huo mkataba wao wameshindwa na imebaki kuwa njoo kesho kuanzia March mpaka sasa.

Inashangaza wanashindwa kujali kabisa wateja wao.
 
Hiyo imekula kwako mkulima,kwani biashara siku hizi ni ujanjanjaunja tu.

Mayolela,

Unaweza kuwa sahii maana Tanzania wenye nacho wanakula kwa maskini. Inasikitisha sana!
 
Kuna mkataba tuliandikiana lakini pamoja na sisi kutimiza wajibu wetu kwenye huo mkataba wao wameshindwa na imebaki kuwa njoo kesho kuanzia March mpaka sasa.

Inashangaza wanashindwa kujali kabisa wateja wao.

Mkataba wenu unasemaje pale upande mmoja ukishindwa kutekeleza makubaliano yenu?
 
Back
Top Bottom