Azam ndiyo mnatupandishia vifurushi kwa hizi boxing za walevi wa chang'aa!

Hawa mabondia sidhani kama wanafanya hata mazoezi ya boxing[emoji3][emoji3]

Kama hili pambano la Joseph Mchapeni ndiyo kituko, hayo mapambano siyo ya kupoteza mda kupeleka makamera na kurusha kwenye tv, ni kituko!
[emoji3][emoji3]
 
Moses Golola kacheza pambano moja tu akashinda kwa point basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…