Azam ndiyo mnatupandishia vifurushi kwa hizi boxing za walevi wa chang'aa!

Kwa points twaha amepigwa

Ila wahenga husema mcheza kwao hutunzwa' ebu tuone Sasa hawa marefa
Leo wamekua fair, labda points amepitwa kiasi hata habebeki. Mtu hata ngumi harushi anaweka guard tu muda wote ndio mchezo gani huo?
 
Leo wamekua fair, labda points amepitwa kiasi hata habebeki. Mtu hata ngumi harushi anaweka guard tu muda wote ndio mchezo gani huo?
Unajua waluguru waradhika mapema sana

Nimeshangaa Sana

Twaha ametu-let down watanzania, tulikua tunamkubali sana. Kuliko mwakinyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…