Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Ukiitazama Azam FC ni timu ambayo uwekezaji wake ni mkubwa sana kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati lakini wanachokifanya ni AIBU Tupu!
Nimewaza sana na kujiuliza maswali mengi yani ningekuwa boss wa Azam sijuwi ningekuwa katika hali gani sasa. Maana kama kuwekeza basi ni uwekezaji mkubwa ambao matumaini ni kufanya vizuri kwenye kila mashindano ya msimu husika lakini kinachotokea sasa doh.
Kuna namna viongozi wa Azam FC wanapaswa kujitafakarii kwenye hii project ya uwekezaji kama kweli wanataka mafanikio kama wanayoyapata Yanga na Simba.
Soma Pia: FT: CAFCL | APR 2-0 AZAM FC | Preliminary Stage 2nd Leg| aggregate : 2-1 | 🏟 Amahoro Stadium | 1900hrs | 24.08.2024
Maana ukiangalia katika mchezo wa leo kuna muda unajiuliza hawa ndiyo Azam kweli. Wachezaji wanacheza tu bila jitihada ya kujitoa zaidi yaani kifupi utazani walikuwa kama washafuzu kumbe badooo kabisa.
Kuna jambo ndani ya Azam kama ni mchawi aliwaroga amekufa watafute namna ya kupona kwenye mtego wa kurogwa zaidi.
Niishe hapo tu kwa leo Hongera Timu ya Wananchi Yanga SC kufuzu hatua nyingine ya CAFC.