Pana usemi huu "kusoma hujui lakini hata picha huwezi kuitambua?"
Alama tatu tumewapa kiroho safi tu na nafasi ya pili tutawapa kwa kihakikisha moja kati ya mechi hizi mbili ziizobaki tunatoa sare tu.
Nyie endeleeni kushinda mechi zenu hata kwa goli moja tu.
View attachment 2997166