Azam ni tawi la Yanga, hakuna Mechi pale

iyokichiku

Member
Joined
Oct 30, 2023
Posts
36
Reaction score
70
Hii inaweza kuthibitika Leo kwani marefa wanapochezesha mechi ya yanga na Azam mara nyingi wanacheza chini ya kiwango Chao na mechi kuonekana Kama vile bahasha imetembea.

Wachezaji wa Azam hawaonyeshi kujituma Sana. Hivyo mechi kuwa ya upande mmoja.

Haina haja ya mashabiki kuingia uwanjani kwani mechi hi referee anayo matokeo mkononi.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Yaani kolozdad mnatapa tapa saana.

Hata Simba ni Tawi la yanga ndio maana wamefungwa tano.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… ila GSM ana hela Sana timu zote ni tawi la yanga ...

Simba 1-5 yanga... Tawi la yanga
Ihefu..
Singida
Azam
Jkt
Km
Mtibwa
Kagera.... Mashabiki wa Simba wote mna utindio wa ubungoπŸ˜…πŸ˜…. Mpaka mnyeee
 
Naomba kujuzwa matawi yanga tafadhari!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…