Ninaiyona hii dalili mapema tu...wacha tusubiri muda utasemaTatizo azam na mawakala wao huwa wana manipulate soko, siku si chache utasikia limerudi 210'000 sababu ya shortage.
Siku kampuni nyingine ikipewa haki ya kurusha matangazo ya ligi, ndo siku itakufa natural dearth.
Tafuta Canal+ hautojutiaKabisa kinachowa beba ni hicho tu ligi ila siku dstv atachukua hii tenda azamu atakufa kifo kibaya sana
Mbona violence mkuu 😅Azam biashara anayoiweza ni kuuza lamba lamba tu,huko kwingine kavamia tu!
Mkuu, ulizia mikoani, wanatangaza karibu kila siku kuwa mzigo uko mikoa gani. Fuatilia moja kwa moja kwa mawakala wa mikoani.Leo nimezunguka kutafuta kisimbuzi cha dishi cha kampuni ya Azam media kila sehemu hakuna nimeanza kupita kwa mawakala kadhaa wote hawana nikaona niende moja kwa moja mpaka makao makuu pale Tazara pia nikaambiwa hakuna dishi.
Nimeshangaa nakujiliuliza nini kinatokea kampuni kubwa kama Azam inafika mda mpaka makao makuu wanaishiwa mzigo hii imekaaje sijaelewa kabisa? Ni kwamba demand imekuwa kubwa kuliko supply?
Nauliza wataleta lini sasa eti hata hawaelewi. Azam kama mmeshindwa biashara mtuambie tuendelee na dstv zetu tu bana.