Mangi flani hivi
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 2,026
- 3,107
Kwa kweli huu ulioufanya Maluwe ni uhuni.
Sisi wengine tunanunua bundle kwa ajili ya habari na huu mchezo tu. Lakini mnatuangusha....
Kumefanyika mashindano ya ARC hapo bagamoyo, kwa kawaida haya mashindano hufanyika kwa siku mbili. Kwa sababu za kibiashara azam mnarusha hayo matangazo ya siku mbili kwa wiki mbili, Sawa.
Tatizo limekuja kuwa kwa wiki mbili mfululizo umetuonyesha event ya siku moja. Na Wiki iliyopita ulisema ungetuonyesha siku ya pili wiki hii, lakini leo nashangaa unafanya analysis ambayo haieleweki.
Hausemi umepatwa na changamoto gani, hausemi utaendelea lini na siku ya pili ya mashindano..... Huo ni uhuni wa Hali ya juu.
Binafsi nimekereka.