Azam shusheni ESPN 1&2 zije kwenye kifurushi Cha 25000

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Posts
9,616
Reaction score
22,521
Wakuu najua Azam managers huwa wanapita humu jamii kusomasoma na kujua wadau wanasemaje
Ombi langu ESPN zipunguzwe bei kule Kuna basketball na American football hizi mambo huwa zina rock sana kwa sisi ambao tumewahi angalau kidogo kuishi Philadelphia (the most cleanest city on earth)
Naomba mpunguze bei ili tuone kama tutakavyoona Taifa cup
 
Sahihi kabisa....Azam wamekariri ndiyo maana king'amuz chao kinalalamikiwa kwa kuboa! Siyo kila mtu ni mpenzi wa ngumi za walevi na ndondo za TFF, 25k kwa usawa huu ni kubwa sana kuwen na huruma!
 
S mhamie upande wa pili kila siku kulalamika kwa upande wa pili mambo yamenoga
 
Azam na vingamuzi vingine waruhusu watu kuchagua channels wanazotaka halafu walipie, sio kulipia channels nyingi zisizo na maana.
 
Sahihi kabisa....Azam wamekariri ndiyo maana king'amuz chao kinalalamikiwa kwa kuboa! Siyo kila mtu ni mpenzi wa ngumi za walevi na ndondo za TFF, 25k kwa usawa huu ni kubwa sana kuwen na huruma!
Umeongeaa Kwa uchungu sana afsaa 😂
 
Nilisoma tangazo lao wameongeza Channel, nikajua ndiyo hizo ESPN.
 
Wadau nina king'amuzi cha Cannal Plus, jmaa akinunuliq kongo na kimesajiliwa huko, sasa nashindwa kununua Airtime nikiwa hapa mpka nimtumie jamaa anunue akiwa kule, sasa imukuwa kero...nawezaje kununua Airtime kwa mitandao yetu?.
 
Wakuu najua Azam managers huwa wanapita humu jamii kusomasoma na kujua wadau wanasemaje
Ombi langu ESPN zipunguzwe bei kule Kuna basketball na American football hizi mambo huwa zina rock sana kwa sisi ambao tumewahi angalau kidogo kuishi Philadelphia (the most cleanest city on earth)
Naomba mpunguze bei ili tuone kama tutakavyoona Taifa cup
azam hamna kitu zaidi ya kulipia matangazo tu marudio hamna cha maana
 
DiShi la kitaaa a.k.a kiswaziii
Sahihi kabisa....Azam wamekariri ndiyo maana king'amuz chao kinalalamikiwa kwa kuboa! Siyo kila mtu ni mpenzi wa ngumi za walevi na ndondo za TFF, 25k kwa usawa huu ni kubwa sana kuwen na huruma!
 
Sahihi kabisa....Azam wamekariri ndiyo maana king'amuz chao kinalalamikiwa kwa kuboa! Siyo kila mtu ni mpenzi wa ngumi za walevi na ndondo za TFF, 25k kwa usawa huu ni kubwa sana kuwen na huruma!
Pamoja sana kiongozi mi huwa burudani yangu niangalie ESPN na fox news basi hapo Kila siku nitalipia king'amuzi
Sema ndio hivyo tunaishia Al Jazeera na NBC league na viwanja vyake vilivyopauka
 
Wadau nina king'amuzi cha Cannal Plus, jmaa akinunuliq kongo na kimesajiliwa huko, sasa nashindwa kununua Airtime nikiwa hapa mpka nimtumie jamaa anunue akiwa kule, sasa imukuwa kero...nawezaje kununua Airtime kwa mitandao yetu?.
Dah sijui labda ununue kwa hela nyingi utumie mda mrefu
 
Azam na vingamuzi vingine waruhusu watu kuchagua channels wanazotaka walipigie, sio kulipia channels nyingi zisizo na maana.
Hii inaweza kuwa Bora maana Kuna chanel hadi za Malawi
Kuwe na option
 
Back
Top Bottom