Sahihi kabisa....Azam wamekariri ndiyo maana king'amuz chao kinalalamikiwa kwa kuboa! Siyo kila mtu ni mpenzi wa ngumi za walevi na ndondo za TFF, 25k kwa usawa huu ni kubwa sana kuwen na huruma!Wakuu najua Azam managers huwa wanapita humu jamii kusomasoma na kujua wadau wanasemaje
Ombi langu ESPN zipunguzwe bei kule Kuna basketball na American football hizi mambo huwa zina rock sana kwa sisi ambao tumewahi angalau kidogo kuishi Philadelphia (the most cleanest city on earth)
Naomba mpunguze bei ili tuone kama tutakavyoona Taifa cup
😂Mbona AZAM hatuoni EURO 2024 ?? Tuhame ??
Umeongeaa Kwa uchungu sana afsaa 😂Sahihi kabisa....Azam wamekariri ndiyo maana king'amuz chao kinalalamikiwa kwa kuboa! Siyo kila mtu ni mpenzi wa ngumi za walevi na ndondo za TFF, 25k kwa usawa huu ni kubwa sana kuwen na huruma!
azam hamna kitu zaidi ya kulipia matangazo tu marudio hamna cha maanaWakuu najua Azam managers huwa wanapita humu jamii kusomasoma na kujua wadau wanasemaje
Ombi langu ESPN zipunguzwe bei kule Kuna basketball na American football hizi mambo huwa zina rock sana kwa sisi ambao tumewahi angalau kidogo kuishi Philadelphia (the most cleanest city on earth)
Naomba mpunguze bei ili tuone kama tutakavyoona Taifa cup
Sahihi kabisa....Azam wamekariri ndiyo maana king'amuz chao kinalalamikiwa kwa kuboa! Siyo kila mtu ni mpenzi wa ngumi za walevi na ndondo za TFF, 25k kwa usawa huu ni kubwa sana kuwen na huruma!
Pamoja sana kiongozi mi huwa burudani yangu niangalie ESPN na fox news basi hapo Kila siku nitalipia king'amuziSahihi kabisa....Azam wamekariri ndiyo maana king'amuz chao kinalalamikiwa kwa kuboa! Siyo kila mtu ni mpenzi wa ngumi za walevi na ndondo za TFF, 25k kwa usawa huu ni kubwa sana kuwen na huruma!
Dah sijui labda ununue kwa hela nyingi utumie mda mrefuWadau nina king'amuzi cha Cannal Plus, jmaa akinunuliq kongo na kimesajiliwa huko, sasa nashindwa kununua Airtime nikiwa hapa mpka nimtumie jamaa anunue akiwa kule, sasa imukuwa kero...nawezaje kununua Airtime kwa mitandao yetu?.