😀 😀 Kwa beki ile ya Mwamnyeto?..Manara atakimbiza timu Kama Ile tarehe 8/5/2021
Na itakuwa mana kulitaka mwana kulipata we subiri.Simba wao walikua wanahamu kubwa ya kucheza na Yanga Sasa chakushangaza wamehuzunika Yanga kushinda. Kinachotakiwa ni Simba kuendelea kushangilia kwakua watakutana na waliyekua wanamtafuta.