MrKanteChelsea
JF-Expert Member
- May 12, 2019
- 728
- 988
Kenge sana wewe. Siyo shabiki then hizo picture umejuaje zina quality mbaya????Si shabiki wa ligi hii ya hapa nchini ila naishi na watazamaji wa hiyo ligi.
Kila ikifika mechi za timu ndogo hakuna watangazaji ila Simba ama Yanga wakiwepo hapo wapo sasa kuna maana ipi ya kurusha hizo mechi kama hamuwezi kuweka watangazaji.
Au ndio soka letu kivyetu vyetu maana hata kuwashauri wanaojenga viwanja kufunga taa za kueleweka mmeshindwa picha Aperture ipo chini balaa.
Sio shabiki ndio napokaa kuna wadau macho yanona kwa sec kadhaa kilichopo haijalishi utatukana ukweli ni hovyo hovyo tuKenge sana wewe. Siyo shabiki then hizo picture umejuaje zina quality mbaya????
Acha UCHAWI NDUGU
Sielewi una maana ipiUmetumwa na TEC?