Toa taarifa ya kueleweka
Tupe official website yao, maana Wabongo kama mnaweza kuumba magaidi basi hamna kitu mnashindwa.
Lilikuwaje sakata la azam cocaMbona kama tgpesa.....halafu ni suala.la muda tuu watakaa meza moja na kupanga bei.
Unakumbuka sakata la Azam cola?