Azam tunaomba ulete boti zako Mwanza

Azam tunaomba ulete boti zako Mwanza

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Huduma za usafiri wa majini Ziwa Victoria zinahitaji msukumo mpya ili kuleta ufanisi.
Meli zako zinazoenda haraka zinaweza kuleta mapinduzi makubwa kwenye usafiri ziwa la Victoria kuliko ilivyo leo
 
Huko lazima akina nyahunge waziletee figisufigisu ili wabaki wenyewe
 
Back
Top Bottom