Azam TV acheni ubaguzi kwa Wakristo


Hivi kwanini WAGALATIA wengi wanakuwa VIPOFU wakati ugali ukiwekwa mezani wanauona?

We nani alikwambia AZAM TV ni mali ya mgalatia?
Au TV Tumaini ni mali ya ustadh?

Unalalamika kuhusu AZAM TV SISI waislamu tuseme nini kuhusu AGAPE TV , TV TUMAINI Na hizo Channel zote za waimba kwaya kila siku?

Umeshawahi kuona hizo CHANNEL ZA MAKANISA zinatangaza chochote kinachohusu Dini zingine?

We unajua kiasi gani waislamu wanapata tabu kuona mnatangaza mungu kafa? Au kapigwa mpk analilia maji ya kunywa?

Yaani we acha kabisa kujipofua. Kaa kimya.
Ukiona AZAM Haikupendezi Tazama AGAPE TV huenda ukajifunza kile kiingereza cha kufokafoka.

Asante sana
 
Wakristo wenzangu achanneni na hizo mambo, mtu aise kua wa Iman yako unamlazimisha vipi kukutatkia kheri kwa kitu asicho kiamini mimi akinitamkia mchungaji wangu inatosha. Tumsifu Yesu kristo
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
jitu lilalamika utadhani tv nyingine hakana lakini sawa masikini haishi vituko
 
Sio lazima kiongoz wa kiislam kusalimia kwa kikristo kama ambavyo sio lazima kwa kiongoz wa kikristo kusalimia kwa kiislam.

Nenda aman bank wakristo wapo. Azam media Barak mpenja ni dini gani?

Chuo cha MUM wakristo ni weng.

#Stop
#Being
#Jealous
 
Hapana huu upumbavu Azam vameanza nao zamani sana sema wakristo wajinga sana, mimi niliona tangu zamani sana na never siwezi kuwa na dish Azam wala kuangalia Azam tv never.

Azam ni wadini tena ni fedheha kuangalia Azam
usipo angalia unawapunguzia nn?kwanza kampuni inazidi kutanuka kenye burundi rwanda uganda kongo malawi ss masikini hatuishi vituko
 
Hapana huu upumbavu Azam vameanza nao zamani sana sema wakristo wajinga sana, mimi niliona tangu zamani sana na never siwezi kuwa na dish Azam wala kuangalia Azam tv never.

Azam ni wadini tena ni fedheha kuangalia Azam
Kwenye suala la kuwaita wakristo Wapumbavu hapo huenda hujakosea manake lzm umechunguza kabla ya kuandika hapa

Kwenye suala la AZAM ni wadini pia hujakosea. AZAM ni MALI YA MUISLAM km vile AGAPE NA TV TUMAINI ni MALI za wagalatia.
'na zote zina promote imani za wenye MALI ZAO.
Wewe pangu pakavu endelea kuimba kwaya huku unakata mauno huenda ukapata mchumba 'na wewe unatumia.

Kila kondoo anakula kwa urefu wa kamba yake. Tikisa kalio lako uondoke 'na sugar Daddy moja la kikolosai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…