Azam TV acheni udini aisee! Hongereni sana

Tajiri wa matajiri

Senior Member
Joined
Apr 17, 2024
Posts
166
Reaction score
649
Azam tv na Azam media acheni udini aisee muwe mnabalance habari aisee hii habari ya Mufti Menk naona mmeivalia njuga kweli kweli lakini mbona hatuoni matamasha ya upande wa pili kama Mwamposa au Mwakasege au ya ma wa pastor wa nje hamzipi promo?

Azam tv ni chombo cha public kila mtu wa dini tofauti tofauti ni watazamaji ila sijui kwanini mnapromo mambo ya waislamu tu mnakera sana aisee😂😂🥹🥹
 
Azam tv na Azam media acheni udini aisee muwe mnabalance habari aisee hii habari ya mufti menk naona mmeivalia njuga kweli kweli lakini mbona hatuoni matamasha ya upande wa pili kama mwamposa au mwakasege au ya ma wa pastor wa nje hamzipi promo?

Azam tv ni chombo cha public kila mtu wa dini tofauti tofauti ni watazamaji ila sijui kwanini mnapromo mambo ya waislamu tu mnakera sana aisee😂😂🥹🥹
ohoo!
 
DINI ILIYO SAFI ISIYO NA TAKA MBELE ZA MUNGU BABA NI HII, YA KWENDA KUWATIZAMA YATIMA NA WAJANE KATIKA DHIKI YAO NA KUJILINDA NA DUNIA PASIPO KUTENDA DHAMBI, YAKOBO 1:27

Sio Maneno Yangu Ni Yakobo 1:27

(NAISUBIRIA JERUSALEM MPYA YA KRISTO YESU)
 
Uislamu ni dini ya haki
UISLAM & UKRISTO NI DINI TU... LAKINI MTU BORA NI YULE ANAE TENDA KWA UPENDO KUTOKA NDANI SASA KAMA UISLAM UNAKUFUNDISHA KUMKATA KICHWA ASIE MUISLAM HAPO NDIPO PENYE TATIZO

LAKINI KAMA UISLAM UNAKUFUNDISHA KUMPENDA ASIE MUISLAM NA KUMJALI HAPO SAWA

KINACHO MATTER JE UNAUPENDO WA KWELI NDANI YAKO MAANA KWENYE UPENDO WA KWELI NDIPO ALIPO MUNGU WA KWELI
 
Azam tv na Azam media acheni udini aisee muwe mnabalance habari aisee hii habari ya Mufti Menk naona mmeivalia njuga kweli kweli lakini mbona hatuoni matamasha ya upande wa pili kama Mwamposa au Mwakasege au ya ma wa pastor wa nje hamzipi promo?

Azam tv ni chombo cha public kila mtu wa dini tofauti tofauti ni watazamaji ila sijui kwanini mnapromo mambo ya waislamu tu mnakera sana aisee😂😂🥹🥹
Ni ngumu kutenganisha imani yao na maisha ya kila siku.. Sio utamaduni wao
 
Isiwe taabu mkuu, fungua chombo chako cha habari utangaze habari uzipendazo. Simpo!
 
we mjinga pengine we ndoo mdini. Mbona staa tv mda mwingi ni vipindi vya mahubiri. Na kingine hujalazimishwa. Sasa umejuaje labda hilo tangazo la mufti limelipiwa
Star tv imejifia
 
Azam tv na Azam media acheni udini aisee muwe mnabalance habari aisee hii habari ya Mufti Menk naona mmeivalia njuga kweli kweli lakini mbona hatuoni matamasha ya upande wa pili kama Mwamposa au Mwakasege au ya ma wa pastor wa nje hamzipi promo?

Azam tv ni chombo cha public kila mtu wa dini tofauti tofauti ni watazamaji ila sijui kwanini mnapromo mambo ya waislamu tu mnakera sana aisee😂😂🥹🥹
Kuna watu jau kweli. Hivi channeli za akina mwamposa hapo azam ni kweli hua huzioni au upo usingizini?
 
Back
Top Bottom