Tajiri wa matajiri
Senior Member
- Apr 17, 2024
- 166
- 649
ohoo!Azam tv na Azam media acheni udini aisee muwe mnabalance habari aisee hii habari ya mufti menk naona mmeivalia njuga kweli kweli lakini mbona hatuoni matamasha ya upande wa pili kama mwamposa au mwakasege au ya ma wa pastor wa nje hamzipi promo?
Azam tv ni chombo cha public kila mtu wa dini tofauti tofauti ni watazamaji ila sijui kwanini mnapromo mambo ya waislamu tu mnakera sana aisee😂😂🥹🥹
Uislamu ni dini ya hakiDINI ILIYO SAFI ISIYO NA TAKA MBELE ZA MUNGU BABA NI HII, YA KWENDA KUWATIZAMA YATIMA NA WAJANE KATIKA DHIKI YAO NA KUJILINDA NA DUNIA PASIPO KUTENDA DHAMBI, YAKOBO 1:27
(NAISUBIRIA JERUSALEM MPYA YA KRISTO YESU)
UISLAM & UKRISTO NI DINI TU... LAKINI MTU BORA NI YULE ANAE TENDA KWA UPENDO KUTOKA NDANI SASA KAMA UISLAM UNAKUFUNDISHA KUMKATA KICHWA ASIE MUISLAM HAPO NDIPO PENYE TATIZOUislamu ni dini ya haki
Ni ngumu kutenganisha imani yao na maisha ya kila siku.. Sio utamaduni waoAzam tv na Azam media acheni udini aisee muwe mnabalance habari aisee hii habari ya Mufti Menk naona mmeivalia njuga kweli kweli lakini mbona hatuoni matamasha ya upande wa pili kama Mwamposa au Mwakasege au ya ma wa pastor wa nje hamzipi promo?
Azam tv ni chombo cha public kila mtu wa dini tofauti tofauti ni watazamaji ila sijui kwanini mnapromo mambo ya waislamu tu mnakera sana aisee😂😂🥹🥹
Ni ngumu kutenganisha imani yao na maisha ya kila siku.. Sio utamaduni waoAzam tv na Azam media acheni udini aisee muwe mnabalance habari aisee hii habari ya Mufti Menk naona mmeivalia njuga kweli kweli lakini mbona hatuoni matamasha ya upande wa pili kama Mwamposa au Mwakasege au ya ma wa pastor wa nje hamzipi promo?
Azam tv ni chombo cha public kila mtu wa dini tofauti tofauti ni watazamaji ila sijui kwanini mnapromo mambo ya waislamu tu mnakera sana aisee😂😂🥹🥹
Isiwe taabu mkuu, fungua chombo chako cha habari utangaze habari uzipendazo. Simpo!Azam tv na Azam media acheni udini aisee muwe mnabalance habari aisee hii habari ya Mufti Menk naona mmeivalia njuga kweli kweli lakini mbona hatuoni matamasha ya upande wa pili kama Mwamposa au Mwakasege au ya ma wa pastor wa nje hamzipi promo?
Azam tv ni chombo cha public kila mtu wa dini tofauti tofauti ni watazamaji ila sijui kwanini mnapromo mambo ya waislamu tu mnakera sana aisee😂😂🥹🥹
Hivi zuku kuna channel gani za maana. Hiki king'amuzi naonaga kipo kimya sanaNiliapa kutotumia Azam Networks kitambo sana, DSTV, Zuku, Startimes
Star tv imejifiawe mjinga pengine we ndoo mdini. Mbona staa tv mda mwingi ni vipindi vya mahubiri. Na kingine hujalazimishwa. Sasa umejuaje labda hilo tangazo la mufti limelipiwa
Waone mawakala wao utapata vitu vizuri sanaHivi zuku kuna channel gani za maana. Hiki king'amuzi naonaga kipo kimya sana
ShukraniWaone mawakala wao utapata vitu vizuri sana
Kuna watu jau kweli. Hivi channeli za akina mwamposa hapo azam ni kweli hua huzioni au upo usingizini?Azam tv na Azam media acheni udini aisee muwe mnabalance habari aisee hii habari ya Mufti Menk naona mmeivalia njuga kweli kweli lakini mbona hatuoni matamasha ya upande wa pili kama Mwamposa au Mwakasege au ya ma wa pastor wa nje hamzipi promo?
Azam tv ni chombo cha public kila mtu wa dini tofauti tofauti ni watazamaji ila sijui kwanini mnapromo mambo ya waislamu tu mnakera sana aisee😂😂🥹🥹
Unahakika hata nyie mapagani ya uarabuni yamelipia?Matangazo haya yanalipiwa ndio ukaona Kila mara yanatoka, Je hao makafiri wanalipia halafu yasitoke?