Azam TV acheni udini aisee! Hongereni sana

Dah kwani lazima uwafuatilie wao? Mbona channel ziko nyingi tu
 
Upendo TV ya mwamposa huwa wanaonesha mihadhara ya kiislamu?

Uhuru FM huwa wanarusha hotuba za Mbowe?

Ulichangia shilingi ngapi kuanzisha Azam media mkuu?

Kila media inakuwa na utegemezi wake na si dhambi
 
Niliapa kutotumia Azam Networks kitambo sana, DSTV, Zuku, Startimes
Kuna a rise and shine hipo hope channel upendo tv na channels kibao za kikiristu tena sio za kilipia ni wewe tu na remote yako.
 
kwahyo ndugu mleta mada huzijui hizi channel?
1.upendo Tv
2.Arise and shine
3.Wrm
 
Channel za wakiristo zipo paleee zimejaa teleee Azam TV

mbona munamuandama sana uyu baba wawatu
 
Udinit, ukisha kuwa kwenye dini fulani, ni kama "inborn" character that needs extra determination to change it! Tena wa dini ile ambayo ni dini ya Mwenyeaaazi Mungu, highly conserved and highly internalized! Huwaambii chochote ndiyo maana wanadiriki kuwaita wanadamu wenzano makafiri!
 
Ila mbona hata mzee wa upako ana channel yake, ukitaka kusikia ya upande wa pili badilisha channel.

Azam ni ya mtu binafsi anaeuza huduma yake. Kama huafikiani nayo unaachana nae tu.

Ukienda kununua vitumbua kwa muuzaji mmoja na hukuvipenda, utaendelea kununua hapo hapo tu?
 
Ni ngumu kutenganisha imani yao na maisha ya kila siku.. Sio utamaduni wao
Na njie pale wanapokuja waungu wenu kutoka ulaya na marekani mmji mzuma kujaa vipeperushi tuite nn ile, vumilia tu au peekaboo na ww matangazo yako azma
 
Kwani ulilazimishwa kutazama?

Yakiwa ya <uislam ndiyo "udini"?

Kondoo huwa mnaacha zizini akili zenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…