Azam tv na Azam media acheni udini aisee muwe mnabalance habari aisee hii habari ya Mufti Menk naona mmeivalia njuga kweli kweli lakini mbona hatuoni matamasha ya upande wa pili kama Mwamposa au Mwakasege au ya ma wa pastor wa nje hamzipi promo?
Azam tv ni chombo cha public kila mtu wa dini tofauti tofauti ni watazamaji ila sijui kwanini mnapromo mambo ya waislamu tu mnakera sana aisee😂😂🥹🥹