Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila nikifungua App ya Azam ili nicheki game ya Simba na Kagera Live hamna kitu, mwenye kujua nini kimewapata hawa jamaa atujuze.
nawashangaa, wangefanya kama DSTV unatumia account yako unayolipia ku login...kama ni mambo ya kudhibiti vya bure...M.a.b.w.e.g.e sna hawa jamaa. BORA WANGEIGEUZA APP YAO IWE YA KULIPIA. KULIKO KUFANYA KUKIWA NA MECHI WANAIONDOA CHANNEL HUSIKA.
Wanafanya hivyo kwa walio nje ya TZ,yan huwezi kuipata azam tv online mpaka uweke na no ya card yao,lkn na bado ikifika wakati wa match wanaiondoa station ionyeshayo mpiranawashangaa, wangefanya kama DSTV unatumia account yako unayolipia ku login...kama ni mambo ya kudhibiti vya bure...
Wasitulete ushamba, kama ni kulipia si watuwekee utaratibu; unaanzisha kitu wakati kumbe hujajipanga.Me, nishaifuta kitambo.. Yaan waameniuzi kinouma.. Kukiwa na mechi wanatoaga mechi zote
Mijinga sn hii mijamaaWanafanya hivyo kwa walio nje ya TZ,yan huwezi kuipata azam tv online mpaka uweke na no ya card yao,lkn na bado ikifika wakati wa match wanaiondoa station ionyeshayo mpira
Niliiweka NIMEITOA FASTA. Cpendag ujingaMe, nishaifuta kitambo.. Yaan waameniuzi kinouma.. Kukiwa na mechi wanatoaga mechi zote
Ubunifu sifuri mkuunawashangaa, wangefanya kama DSTV unatumia account yako unayolipia ku login...kama ni mambo ya kudhibiti vya bure...
Ila naona leo wameleta App mpya na Imetulia
Ingia hapo
Naona bado kuna shida, kila mechi caf champion league zikianza ZBC2 wanaitoa, wakati nimeshalipia