Azam TV App vipi..?

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Posts
34,181
Reaction score
41,563
Kila nikifungua App ya Azam ili nicheki game ya Simba na Kagera Live hamna kitu, mwenye kujua nini kimewapata hawa jamaa atujuze.
 
M.a.b.w.e.g.e sna hawa jamaa. BORA WANGEIGEUZA APP YAO IWE YA KULIPIA. KULIKO KUFANYA KUKIWA NA MECHI WANAIONDOA CHANNEL HUSIKA.

nawashangaa, wangefanya kama DSTV unatumia account yako unayolipia ku login...kama ni mambo ya kudhibiti vya bure...
 
Bado hawajui wanatakiwa kufanya nn...kama unaona app inakuingizia hasara, weka utaratibu wa kuilipia ili anaehitaji atalipa apate huduma na sio kuvizia mechi inaanza unachomoa channel.
 
nawashangaa, wangefanya kama DSTV unatumia account yako unayolipia ku login...kama ni mambo ya kudhibiti vya bure...
Wanafanya hivyo kwa walio nje ya TZ,yan huwezi kuipata azam tv online mpaka uweke na no ya card yao,lkn na bado ikifika wakati wa match wanaiondoa station ionyeshayo mpira
 
Me, nishaifuta kitambo.. Yaan waameniuzi kinouma.. Kukiwa na mechi wanatoaga mechi zote
 
"E="SPINE, post: 32948708, member: 467874"]
Bado hawajui wanatakiwa kufanya nn...kama unaona app inakuingizia hasara, weka utaratibu wa kuilipia ili anaehitaji atalipa apate huduma na sio kuvizia mechi inaanza unachomoa channel.
[/QUOTE]"

kumbe ndio huwa wanafanya hivyo huyo jamaa si anachukua sana mihela yetu anakwama wapi kturudishia kwa huku
 
Hatamkiongea humu huwa hawajali, hamna customer care pale. Toka wamekufa wale jamaa hakuna ratiba ya vpindi kwenye king'amuzi, vipindi vinakatizwa hovyohovyo.
 
Wenye iphone inakubali? Kwangu inakataa asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…