NSHOMA FRANCOUS
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 698
- 325
Ni watu wa ajabu sana ktk zama hizi..na wanalipwa mishahara!sijui kama boss wao anajua upuuzi huuSio Leo tu mkuu. Last week ilinifanyia hivyo..inaishia kwenye kuchagua lugha ukichagua inajirudia.
Kweli ni wapuuzi kwangu channel za watoto hazioneshi karibia mwezi sasa. Nawapigia lakin wap?Ni watu wa ajabu sana ktk zama hizi..na wanalipwa mishahara!sijui kama boss wao anajua upuuzi huu
Mimi imenitokea jana. Nililipia tarehe 9 mwezi uliopita, tarehe 5 mwezi huu eti kifurushi kimeisha!Hizi namba 0764700222,0784108000,0659072002 leo hazifanyi kazi?mnasherekea sikukuu? Tunataka huduma,kuweni serious bhana..Yaani unaambiwa ujague lugha unachakua afu inajirudia chagua lugha yaani no respond..Hacheni uzembe kitengo husika
Piga hiyo landline,ni yaleyale tu!watu wahovyo sanaMmeanza kutumia Azam lini nyie? Mimi nimeanza kutumia 2014 wakati inaanza na nikipata shida napiga Landline yao 0225508080 customer care,hizo mobile mara nyingi zinakuwa na shida.
Nitumie email address yao,lakini ni uzembe wa hali ya juu,wazungu watazidi kutushangaa sana,una namba zaidi ya tatu za customers care afu zero response!ridiculous..Hao jamaa nilipata shida Trh 31/11/2020
Namba zao zote hazipatika, kweny mitandao ya kijamii hawajibu
Ila nilipata respond via Email yao ndi wakaweza kutatua shida yngu
Nitumie email address yao,lakini ni uzembe wa hali ya juu,wazungu watazidi kutushangaa sana,una namba zaidi ya tatu za customers care afu zero response!ridiculous..