INAUZWA Azam tv decoder full set kwa 160,000 tu, Kiwalani Dar

Ramon Abbas

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
1,964
Reaction score
3,913
IMG-20210917-WA0003.jpg
IMG-20210917-WA0002.jpg
 
Ukinunua kipya ni tsh 210,000 + kifurushi kikubwa (28,000) kwa miezi mitatu.
Kwahiyo 210,000 - 84,000 = 126,000 bila kifurushi.
Chako ( used) ulipaswa kukiuza angalau 100k
True
 
mahesabu mazuri, lakini kuna hoja hapa
kama azam wangeweka kifurushi kikubwa kwa miezi 8,
210,000 - 224000 = -14000
so jamaa akitaka kukiuza akitoe BURE na adaiwe 14000 au vipi ?
 
Ukinunua kipya ni tsh 210,000 + kifurushi kikubwa (28,000) kwa miezi mitatu.
Kwahiyo 210,000 - 84,000 = 126,000 bila kifurushi.
Chako ( used) ulipaswa kukiuza angalau 100k
Muuzaji akiwa na shida ya laki Moja anicheki nimsaidie......hicho kisimbuzi nikitoe donation....
 
Back
Top Bottom