murume ulifanikisha hili tatizo? Nimepata hii changamoto pia. Decoder haipokei kabisa signal. Nimetumia Remote zaidi ya 5 bila mafanikio. Nahitaji kubadili channel nikitumia button za kwenye king'amuzi zinazunguka kwenye channel za movie tu. Mm nataka channel za sports.