INAUZWA Azam TV Decorder full set, iko Kiwalani-Dar

Ramon Abbas

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
1,964
Reaction score
3,913
Azam full set
Decoder na dish na kifurushi cha mwezi

Bei: 170k

Kiwalani, Dar. Call 0683011003

FB_IMG_1628678629487.jpg
 
Azam imekuwa dili sasahiv..kwabei tulizozizoea mwanzo ilitakiwa hiyo 1 hapo mbele itoke
 
Una mislead watu wengine wasiojua wakati ukweli uko wazi.

decoder mpya ni 240,000 + installation.

halafu ww unasema 170k unapata kipya dukani
Kumbe imepanda kiasi hicho bhas wakupe ata 185k ....nilijua bei zetu za kitonga
 
mkuu bei yake ni ileile hapanda kabisa

humo katika hiyo bei kuna kifurushi kikubwa kile wameunganisha kwa miezi mitatu
 
Bei yake dukan 135k pamoja na kifurushi kikubwa, jaribu kupitia maduka na mawakala tofauti
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Bei yake dukan 135k pamoja na kifurushi kikubwa, jaribu kupitia maduka na mawakala tofauti
kwa maana hiyo kikiuzwa bila kifurushi kikubwa ni chini ya laki moja

sasa hiki kimetumika kweriikweiiii
huyo jamaa kaweka tamaa tu
 
Kinga'amuzi chochote unachonunua lazima kiwe na ofa ya kifurushi Cha mwezi na Azam hiyo ndo Bei yake halisi 135 k kipya bila ufundi
 
Acheni kupotosha watu,king'amuzi cha Azam kwa sasa ni 210,000 bila installation cost. Pia ukumbuke Ving'amuzi vyote vipya vinakuwa installed na package ya offer na huwezi kusema eti upewe ambacho hakina offer sababu kishakuwa programmed
 
Wanatoa offer ya miezi 3
 
Back
Top Bottom