Azam tv hamuwatendei haki watazamaji wenu

changaule

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2020
Posts
6,039
Reaction score
10,151
Ukiangalia wachambuzi wa super sport huwa wanakuwa wapo neutral kwanzia anayefanya marejesho ya video hadi wachambuzi na kuchambua kila aina ya tukio kwa kufuata sheria za soka kwa marejeo ya video juu ya tukio husika. Nimeshangazwa sana na tukio la leo lililoleta utata na ugomvi, kutojadiliwa kabisa eti kisa fundi mitambo kashindwa kufanya marejeo ya video kashindwa kuweka hilo tukio la goli walilofunga Berkane.

Mtangazaji kamuuliza yule dada mchamguzi kuwa goli walilofunga Berkane ni halali au sio halali, yule dada alisema ni goli halali kwavile Kanoute alivunja offside, lakini akaomba apate tena marejeo iili apate kujiridhisha zaidi ila hakuwekewa marejeo ya video. Mchamguzi mwingine naye kaulizwa, akashindwa kutoa majibu kabisa naye akaomba marejeo ya video lakini cha ajabu aliyeko studio kashindwa kuonesha tena marejeo ili wachambuzi waseme kilichoonekana kama ilikuwa ni clear offside au lah Mwisho wa siku waka skip hilo tukio wakajadili ishu zingine kabisa cha ajabu kwenye matukio mengine fundi mitambo anaonesha marejeo ya video.

Watu wengi wanategemea kupata majibu ya maswali kupitia hawa wachambuzi ambao huwa wanaongea kwa kutafsiri tukio vs sheria ya soka. Hata watazamaji pia wapo wenye uelewa wa sheria ila kitu pekee ambacho huwa tunatamani kukiona ni ni replay ya tukio husika na ndio maana warusha matangazo ya mpira wengine matukio yote yenye utata wanaonesha kila kitu kwa ufasaha.
 
Watu wa Simba pitieni page ya Ally Kamwe hasa kwenye 'Mambo 10 ya mechi ya leo...Simba v Berkane'. Hongereni kwa kuwa mmepata pointi 3. Pia hongera wachezaji kwa spirit ya ushindani
Ukiangalia wachambuzi wa super sport huwa wanakuwa wapo neutral kwanzia anayefanya marejesho ya video hadi wachambuzi na kuchambua kila aina ya tukio kwa kufuata sheria za soka kwa marejeo ya video juu ya tukio husika. Nimeshangazwa sana na tukio la leo lililoleta utata na ugomvi, kutojadiliwa kabisa eti kisa fundi mitambo kashindwa kufanya marejeo ya video kashindwa kuweka hilo tukio la goli walilofunga Berkane.

Mtangazaji kamuuliza yule dada mchamguzi kuwa goli walilofunga Berkane ni halali au sio halali, yule dada alisema ni goli halali kwavile Kanoute alivunja offside, lakini akaomba apate tena marejeo iili apate kujiridhisha zaidi ila hakuwekewa marejeo ya video. Mchamguzi mwingine naye kaulizwa, akashindwa kutoa majibu kabisa naye akaomba marejeo ya video lakini cha ajabu aliyeko studio kashindwa kuonesha tena marejeo ili wachambuzi waseme kilichoonekana kama ilikuwa ni clear offside au lah Mwisho wa siku waka skip hilo tukio wakajadili ishu zingine kabisa cha ajabu kwenye matukio mengine fundi mitambo anaonesha marejeo ya video.

Watu wengi wanategemea kupata majibu ya maswali kupitia hawa wachambuzi ambao huwa wanaongea kwa kutafsiri tukio vs sheria ya soka. Hata watazamaji pia wapo wenye uelewa wa sheria ila kitu pekee ambacho huwa tunatamani kukiona ni ni replay ya tukio husika na ndio maana warusha matangazo ya mpira wengine matukio yote yenye utata wanaonesha kila kitu kwa ufasaha.
 
azam wanajisahau kuwa tv yao ina go international, watangazaji wake wanadhani wanatangazia tbc, wakati umefika sasa kuwa na wachambuzi pia kutoka nchi zingine
 
Ukiangalia wachambuzi wa super sport huwa wanakuwa wapo neutral kwanzia anayefanya marejesho ya video hadi wachambuzi na kuchambua kila aina ya tukio kwa kufuata sheria za soka kwa marejeo ya video juu ya tukio husika. Nimeshangazwa sana na tukio la leo lililoleta utata na ugomvi, kutojadiliwa kabisa eti kisa fundi mitambo kashindwa kufanya marejeo ya video kashindwa kuweka hilo tukio la goli walilofunga Berkane.

Mtangazaji kamuuliza yule dada mchamguzi kuwa goli walilofunga Berkane ni halali au sio halali, yule dada alisema ni goli halali kwavile Kanoute alivunja offside, lakini akaomba apate tena marejeo iili apate kujiridhisha zaidi ila hakuwekewa marejeo ya video. Mchamguzi mwingine naye kaulizwa, akashindwa kutoa majibu kabisa naye akaomba marejeo ya video lakini cha ajabu aliyeko studio kashindwa kuonesha tena marejeo ili wachambuzi waseme kilichoonekana kama ilikuwa ni clear offside au lah Mwisho wa siku waka skip hilo tukio wakajadili ishu zingine kabisa cha ajabu kwenye matukio mengine fundi mitambo anaonesha marejeo ya video.

Watu wengi wanategemea kupata majibu ya maswali kupitia hawa wachambuzi ambao huwa wanaongea kwa kutafsiri tukio vs sheria ya soka. Hata watazamaji pia wapo wenye uelewa wa sheria ila kitu pekee ambacho huwa tunatamani kukiona ni ni replay ya tukio husika na ndio maana warusha matangazo ya mpira wengine matukio yote yenye utata wanaonesha kila kitu kwa ufasaha.
Kuona ni kitu kingine na kulitafsiri tukio lazima uwe una jua sheria za mchezo husika!!
Hususani hizi za off sides, sasa bongo kila mtu ni mjuaji wa sheria hizo!!hata hao wachambuzi wengi wao ni wale wale tu.
 
Ukiangalia wachambuzi wa super sport huwa wanakuwa wapo neutral kwanzia anayefanya marejesho ya video hadi wachambuzi na kuchambua kila aina ya tukio kwa kufuata sheria za soka kwa marejeo ya video juu ya tukio husika. Nimeshangazwa sana na tukio la leo lililoleta utata na ugomvi, kutojadiliwa kabisa eti kisa fundi mitambo kashindwa kufanya marejeo ya video kashindwa kuweka hilo tukio la goli walilofunga Berkane.

Mtangazaji kamuuliza yule dada mchamguzi kuwa goli walilofunga Berkane ni halali au sio halali, yule dada alisema ni goli halali kwavile Kanoute alivunja offside, lakini akaomba apate tena marejeo iili apate kujiridhisha zaidi ila hakuwekewa marejeo ya video. Mchamguzi mwingine naye kaulizwa, akashindwa kutoa majibu kabisa naye akaomba marejeo ya video lakini cha ajabu aliyeko studio kashindwa kuonesha tena marejeo ili wachambuzi waseme kilichoonekana kama ilikuwa ni clear offside au lah Mwisho wa siku waka skip hilo tukio wakajadili ishu zingine kabisa cha ajabu kwenye matukio mengine fundi mitambo anaonesha marejeo ya video.

Watu wengi wanategemea kupata majibu ya maswali kupitia hawa wachambuzi ambao huwa wanaongea kwa kutafsiri tukio vs sheria ya soka. Hata watazamaji pia wapo wenye uelewa wa sheria ila kitu pekee ambacho huwa tunatamani kukiona ni ni replay ya tukio husika na ndio maana warusha matangazo ya mpira wengine matukio yote yenye utata wanaonesha kila kitu kwa ufasaha.
Sawa ni goal halali, haya simba 1 UTO 1
 
Lile goli letu ni offside kwa sheria za fifa. Ila ndio ishatokea sisi ni shangwe tu.
 
Lile halijadiliwi kwasababu wengi wetu hatuijui sheria za offfside hadi wachambuzi nao wanachambua kwa kuangalia upepo upo wapi asijesema ukweli akaonekana anaichukia Simba au akaonekana ni mnazi wa Simba. Lile goli la Simba halijazungumzwa na wachambuzi wa Azam katika angle ya sheria offside bali wamebakia kusema tu asifiwe Kagere kwa kuuruka mpira na pia asifiwe Sakho kwa jitihada binafsi
 
Nimeshangazwa na Huyo bint sijui mama kusema si offside ni goli halali. Kama hawezi chambua anaushabiki Bora anyamaze tu.

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom