Azam TV, hatuna neno "Mswada" tuna "Muswada"

Azam TV, hatuna neno "Mswada" tuna "Muswada"

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,427
Reaction score
10,905
Mara kadhaa mmekuwa hamzingatii uandishi wa Kiswahili sanifu kwenye maelezo yenu ya picha. Ninyi ni miongoni mwa vituo bora kwa habari hizi 'wrong captions' zinawaharibia sifa, rekebisheni.

Screenshot_20190114-200710_AzamTV.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom