Mara kadhaa mmekuwa hamzingatii uandishi wa Kiswahili sanifu kwenye maelezo yenu ya picha. Ninyi ni miongoni mwa vituo bora kwa habari hizi 'wrong captions' zinawaharibia sifa, rekebisheni.
Mswada sidhani kama lina maana yoyote katika Kiswahili. Ila Muswada ni:-
1. Maandishi ambayo hayajachapishwa.
2. Maandishi ya kwanza yanayotayarishwa ili kupitiwa na kufanyiwa marekebisho au masahihisho kabla ya kutolewa makala/sheria.