oxlade JF-Expert Member Joined Jul 8, 2012 Posts 601 Reaction score 96 Sep 11, 2021 #1 Naomba msaada jamani, TV yangu imeharibika speaker. Sasa nataka sauti itike katika Kingamuzi maana naona vina speaker. Je nifanyeje? Asante
Naomba msaada jamani, TV yangu imeharibika speaker. Sasa nataka sauti itike katika Kingamuzi maana naona vina speaker. Je nifanyeje? Asante
white wizard JF-Expert Member Joined May 18, 2011 Posts 8,566 Reaction score 13,770 Sep 11, 2021 #2 oxlade said: Naomba msaada jamani, TV yangu imeharibika speaker. Sasa nataka sauti itike katika Kingamuzi maana naona vina speaker. Je nifanyeje? Asante Click to expand... King'amuzi kina spika!!??cjawahi kiona hicho king'amuzi, labda kama ni toleo jipya!!kama una subwoofer, au radio kubwa yenye pini ya aux.unaweza kuitumia kupata sauti.
oxlade said: Naomba msaada jamani, TV yangu imeharibika speaker. Sasa nataka sauti itike katika Kingamuzi maana naona vina speaker. Je nifanyeje? Asante Click to expand... King'amuzi kina spika!!??cjawahi kiona hicho king'amuzi, labda kama ni toleo jipya!!kama una subwoofer, au radio kubwa yenye pini ya aux.unaweza kuitumia kupata sauti.