Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Baada ya Dstv kupandisha vifurushi vyake mwezi septemba, nimedokezwa muda wowote kuanzia sasa, AzamTv nae atapandisha vifurushi vyake, kile cha kuona mpira elfu 20 sasa kuwa 25! Ni matokeo ya mlolongo wa kodi walizopanfishiwa. Je tutafika?